Moment ambayo hauwezi kuisahahau

Kuna nanga mmoja tumefoleni kwa mzabuni watu wa kwata ilkua tunapewa msosi wa kwanza yule K.O akaja kwetu kufoleni afande akamuona akamuuliza upo gadi namba ngapi akasema Gadi2 bila kujua ni gadi ya serengeti likawa linatuangalia tunavofinya mzabuni likiwa limetundika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua anataka kubasti msosi maana ma K o hua wako njema kwa msosi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatoshi Huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…