JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #21
Amarok ina sifa zipi za ziada kuipiku land cruiser V8 Kwenye speed....naomba elimu zaidi Kwenye hili
Landcruiser anatumia Traditional Automatic Transmission.
Amarok anatumia Direct Shift Transmission.
Nmepanda Amarok na aliyekuwa analiendesha alikuwa analikangaga 150 mpaka 180 sehemu nyingi. Kufika hizo speed kwenye Amarok ni kugusa tu.