Moment of Silence for Volkswagen Amarok

Amarok ina sifa zipi za ziada kuipiku land cruiser V8 Kwenye speed....naomba elimu zaidi Kwenye hili

Landcruiser anatumia Traditional Automatic Transmission.

Amarok anatumia Direct Shift Transmission.

Nmepanda Amarok na aliyekuwa analiendesha alikuwa analikangaga 150 mpaka 180 sehemu nyingi. Kufika hizo speed kwenye Amarok ni kugusa tu.
 

Upo sahihi asilimia mia.

Weka Amarok, Hilux, Navara, Ford Ranger.

Hakuna mtu atamkuta amarok hapo. Hiyo chuma inaamsha acha kabisa.
 
Atleast atashindwa kwa haki ila sio kumletea ubishi mtu mwenye 250HP+ ila ukikuta hilux ilioko tuned inakalisha huyo amarok mchana kweupe!
Sasa ukizungumzia tuning hata Vitz ikiwa tuned itaipiga stock GX 100. Hilux,Prado za 2016/7 nishazipiga sana highway nikiwa na mtoto wa VW. Hayo malori hayakuumbiwa mbio.
Chuma VX R au Y62 V8
 
juzi nimekutana na Volkswagen toureg V8 anaendesha mhindi aisee kuna watu wanasukuma mashine za hatari Sana hasa ukija mitaa ya posta...
 
Siyo rahisi hiyo Amarok kutanua mbavu kwa hiyo LC kwa kuvutana...Hiyo amaroki imepewa mshindani aliyemzidi nguvu sana...

Yaani hapo ni Sawa na Yanga uwachezeshe na Man U..[emoji26][emoji26]
Nmeona kuna video nyingine ya Amrok vs Hulux.

Yani amarok anateseka kinyama wakati hilux yeye katulia tu hana presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…