Momose Cheyo auzungumzia “Uchawa” wa Tanzania

Momose Cheyo auzungumzia “Uchawa” wa Tanzania

Yeye mwenyewe ni chawa wa enzi na enzi tangu wakati wa Mrema NCCR mageuzi na alitumika sana dhidi ya Mrema na baada ya Mrema kufifia amekuwa akitumika dhidi ya CHADEMA.

Hata wakati alipopinduliwa uongozini UDP dola iliingilia kupitia. Msajili akarudishiwa uongozi hadi leo.

Aseme lingine lakini hilo la uchawa inabidi yeye. ndio aanze kuacha kama kweli ana.maanisha
Watu mna data za tangu 1995.
RMC unaweza kua na data za
Hawa chawa wa Nyanda za juu kusini
ChoiceVariable &
Lucas Mwashambwa ?
 
Chawa kuu linaongelea machawa wenzie.

Alishasahau kipindi cha Magufuli alikuwa chawa na moja wa kutokea upinzani aliekuwa akiimba mapambio ya Magufuli.
 
Anakumbuka shuka kumeshapambazuka.

Kizimkazi ana deal na wa Kizimkazi wenzie. Yeye John apambane na hali yake tu.
Hayo masukuma gang ndio hana habari nayo kabisa, ndio maana Shibuda kakubali matokeo kajikalia kimya.

Wanaoweza kukuruka ni maoportunist kama Mwami Zitto Kabwe.
 
Ongeza na Tantalila sijui Tlaatla!
I think a senior politician John Momose Cheyo is not relevant any more in country's current political temperature, we should not take him seriously unless we are also done with no new ideas or thinking capacity ..

nyumbu or chawa identities are narratives which have completely no impacts in country's politics unless someone is superstitious 🐒
 
as a young visionary political leader of a constituency,
nyumbu or chawa narratives are useless and nonsense identities which can not slow my hardworking spirit in any way,
especially when it reised by a person who is completely done in country's political movements 🐒
 
I think a senior politician John Momose Cheyo is not relevant any more in country's current political temperature, we should not take him seriously unless we are also done with no new ideas or thinking capacity ..

nyumbu or chawa identities are narratives which have completely no impacts in country's politics unless someone is superstitious 🐒
I am superstitious.😅
 
Back
Top Bottom