Wakuu habari za weekend kiukweli hii timu ya AS MONACO matokeo yake hayaridhishi kwa sasa mimi kama mmoja wa watu waliokuwa wanaipenda hii timu nashindwa kuelewa sababu ni nini timu haiperform, Au kwavile wameuza sana wachezaji kina mbape lemar moutinho bernado nk
MONACO wameuza sana vipaji na wameshindwa kununua ku'cover nafasi..
Kwa waKUBET Monaco na Man u ni timu za GG sana kwa sasa na ikibidi wapigwe kabisa lakn GG ni lazima.
Monaco imebaki timu ya Falcao, utd imebaki timu ya ubabe mdomoni na ina ukuta mbovu sana.