Monaco wamepatwa na matatizo gani?

Monaco wamepatwa na matatizo gani?

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari za weekend kiukweli hii timu ya AS MONACO matokeo yake hayaridhishi kwa sasa mimi kama mmoja wa watu waliokuwa wanaipenda hii timu nashindwa kuelewa sababu ni nini timu haiperform, Au kwavile wameuza sana wachezaji kina mbape lemar moutinho bernado nk
 
Umeuza moutinho, fabinho, bernado, mendy, mbappe& co lazima hata faru jeuri akuzingue mkikutana
 
1 mbape
2 Bernardo Silva
3 Fabinho
4 moutinho
5 lemar
6 benjan Mendy
7 Rodriguez
8 etc
Siyo rahisi kuwa katika kiwango kizuri kwahiyo exhodus
 
Naona mkeka wako wa leo umechanwa na Monaco pekee!! Pole sana mkuu,,kubet ni addiction kuliko nyeto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona miaka ya karibun walishuka had daraja,unashangaa nini
 
MONACO wameuza sana vipaji na wameshindwa kununua ku'cover nafasi..
Kwa waKUBET Monaco na Man u ni timu za GG sana kwa sasa na ikibidi wapigwe kabisa lakn GG ni lazima.
Monaco imebaki timu ya Falcao, utd imebaki timu ya ubabe mdomoni na ina ukuta mbovu sana.
 
Back
Top Bottom