Mpira wa kisasa hautegemei Sana winga wakulia Wala kushoto wanatazama Sana katikati pakoje .......nishabiki wa Madrid bekitatu yao kaziyake huoni mkuu ......(maselo)Madrid wangesajiri winga ya kulia ningefurahi sana
mpira biashara ulitaka wauze mchezaji mzigoMonaco anauza wachezaji wazuri
Umeshawahi muona akicheza?Mpira wa siku hizi ni siasa sana. Kwa mpira wa huyu kijana ni wa kuuzwa kwa £85mil (€100mil) kweli??
Acha tu tuwape hongera Monaco.
NdioUmeshawahi muona akicheza?
Mpira wa siku hizi ni siasa sana. Kwa mpira wa huyu kijana ni wa kuuzwa kwa £85mil (€100mil) kweli??
Acha tu tuwape hongera Monaco.