GE2025 Monalisa anaendelea kukabia kooni issue ya Mpina kugombea urais ACT

GE2025 Monalisa anaendelea kukabia kooni issue ya Mpina kugombea urais ACT

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shida ya watu kama hao, hawatumii akili bali mihemko.

Moina ni Mzalendo. Anakubaliana na yeyote alie mzalendo. Mimi nikivaa picha ya Nyerere na niko CUF ntakua na matatizo?

Hizo ni fikra mgando. Tunataka uzalendo na akili ndio ziongoze taifa sio upinzani na ushabiki wa kama ma ccm yaliyo mengi. Ili mradi ugali wao upo yanashabikia kila kitu.
Avae akiwa nyumbani kwake sebuleni jioni wakati anakunywa kahawa.
 
Siku tundu lisu akivaa t-shirt ya Samia akiwa mahakami ndipo wataelewa maoni ya huyu dada.
Watu uwezo wao wa kufikiri umepotea sana, kwa hapa nawaza ilikuwaje Nyerere akaongoza hili taifa la watu wajinga na mpaka akaondoka bila kuleta machafuko?
 
kama haya anayoyaongea huyu dada ni kweli, basi ni fedheha sana kwa chama cha ACT.
 
Back
Top Bottom