Ha ha ha. Binadamu kaaazi sana! Maana bi dada maisha yake kafanikiwa kuyaweka behind closed doors, sasa kitumbo ndii, followers shurti wajue baba mtoto ni naniTatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......
We warumi ni umenichosha kwa kucheka!! Eti huko leba hakuna umri Wa mwisho![emoji23] [emoji23]Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.
Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
Anhaaa... Mkuu uko sahihi.. Hata Mama yake tangu niko shule mpaka leo yuko vilevile.Mona atakuwa vampire aise,hazeeki
....gine iko Baba tatu toto moja.Toto tatu baba tatu....
Hivi shem Warumi ni ke?[emoji30]Tatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......
Hata sijuagi jinsia yakeHivi shem Warumi ni ke?[emoji30]
Sina nia mbaya,mimi ni mgeni humu kwa hiyo nilihitaji tu kujua kwa sababu siyo kwa thread hizi![emoji30]......Labda Nifah akija pande za huku atanisaidia![emoji1]Hata sijuagi jinsia yake
Serious shem sijui ni jinsia gani kiukweli mie ilimradi analeta umbea mie nakuwa sawa kabisa[emoji86]Sina nia mbaya,mimi ni mgeni humu kwa hiyo nilihitaji tu kujua kwa sababu siyo kwa thread hizi![emoji30]......Labda Nifah akija pande za huku atanisaidia![emoji1]
Nifah njoo huku please![emoji30]Serious shem sijui ni jinsia gani kiukweli mie ilimradi analeta umbea mie nakuwa sawa kabisa[emoji86]