Monalisa Anasa ujauzito

Monalisa Anasa ujauzito

Teh Teh Teh ilo vuzi la kikoloni likoje wadau maana dah sipati picha bhuahahahahaha
 
Tatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......
Ha ha ha. Binadamu kaaazi sana! Maana bi dada maisha yake kafanikiwa kuyaweka behind closed doors, sasa kitumbo ndii, followers shurti wajue baba mtoto ni nani
 
Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.

Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
We warumi ni umenichosha kwa kucheka!! Eti huko leba hakuna umri Wa mwisho![emoji23] [emoji23]
 
Yule wapili sijui wa taifa gani,wa kwanza ni mmbongo pure lakini wa pili kuna mixture kidogo. Namuombea asichanganye tena maana wataishia kushangaana huko ndani
 
We warumi ni umenichosha kwa kucheka!! Eti huko leba hakuna umri Wa mwisho![emoji23] [emoji23]
Lazima niulize binamu maana wengine mmh!! Hapana kwa kweli waachie akina Lulu sasa jaman
 
Mona cjui anakula nini kkila siku anakuwa mwali.. wenzake wanakuja na kuzeeka
 
Sina nia mbaya,mimi ni mgeni humu kwa hiyo nilihitaji tu kujua kwa sababu siyo kwa thread hizi![emoji30]......Labda Nifah akija pande za huku atanisaidia![emoji1]
Serious shem sijui ni jinsia gani kiukweli mie ilimradi analeta umbea mie nakuwa sawa kabisa[emoji86]
 
Mwache azae Dada wa watu maana nadhani kwa mama ake ye ndo mtoto wa pekee, so naona kuna kaupweke flan kwao
 
jamaa kilasiku mimba akazane tu situpo tupo b
 
Back
Top Bottom