ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Laiti ungejua matajiri wana wivu mbaya usingesema. Wengi wao hawapendi kuona wengine wananyanyuka kiuchumi.Ukiwa na hela huwezi kua na wivu wa maendeleo ya mtu mwingine tena msiyefahamiana,
Maskini pekee ndio hua wana makasiriko muda wote.