ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Laiti ungejua matajiri wana wivu mbaya usingesema. Wengi wao hawapendi kuona wengine wananyanyuka kiuchumi.Ukiwa na hela huwezi kua na wivu wa maendeleo ya mtu mwingine tena msiyefahamiana,
Maskini pekee ndio hua wana makasiriko muda wote.
Kha! eti mbongo na English wapi na wapi [emoji28], we babu pole kwa kupata elimu duni, Monalisa sio level yakoNilikuwa najiuliza mbongo na english wapi na wapi! Hilo ulilolisema, hilo ndo limefanya apewe tuzo
Ni Maskini wa roho huyo, pesa zake bado hazijamuondoa kwenye umaskiniLaiti ungejua matajiri wana wivu mbaya usingesema. Wengi wao hawapendi kuona wengine wananyanyuka kiuchumi.
Mtoto wa dandu anatetemeka huko kabulini kusikia kuwa mtoto wake wa kiume naye anapelekewa moto na mwanaume mwingine mpaka analalamika taratibu unaniumizaKha! eti mbongo na English wapi na wapi [emoji28], we babu pole kwa kupata elimu duni, Monalisa sio level yako
sorry siwezi shindia mihogo na maji, nina uwezo w kuajiri huyo monalisa na ukoo wako woteNi smart, famous and rich,
Kazi kwako unayeshindia mihogo na maji ya kandoro.
Mwalimu una Mbwembwe!sorry siwezi shindia mihogo na maji, nina uwezo w kuajiri huyo monalisa na ukoo wako wote
hamna mbwembwe ,awalimu ni ajira tu kuna maisha mengi nje ya ualimu, ficha mdomoni kauli zako si kila mwalimu ni falaMwalimu una Mbwembwe!
Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha
Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...www.jamiiforums.com
Hiyo tuzo aliyopata haikihusu malezi, poleeeee sanaaaa.Amefeli kumlea mtoto wake kuwa ndume.
Ushaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMtoto wa dandu anatetemeka huko kabulini kusikia kuwa mtoto wake wa kiume naye anapelekewa moto na mwanaume mwingine mpaka analalamika taratibu unaniumiza
Ana watoto wa ngapi achilia yule binti wa UkraineU-smart wake uko wapi kama kakubali kijana wake kuwa shoga?
Alizaa na danduMtoto wa dandu anatetemeka huko kabulini kusikia kuwa mtoto wake wa kiume naye anapelekewa moto na mwanaume mwingine mpaka analalamika taratibu unaniumiza
Siyo dandu bali MtotowadanduAlizaa na dandu
Mbona washangaa, nao hulalamika wakiumizwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Alipotoka ni mbali na aliyopitia ni mengiHuyu dada yupo smart sana, hata kwenye interviews zake utamuona,
Kila la kheir kwake na afike mbali zaidi
Thus tunasema kupata sio ujanja bali ni wakati ukifika kila unachogusa kina tikiAlipotoka ni mbali na aliyopitia ni mengiView attachment 2554881
Wee ulishawahi wakula hadi ukajua wanalalamika.??Mbona washangaa, nao hulalamika wakiumizwa
Story za vijiweni tuWee ulishawahi wakula hadi ukajua wanalalamika.??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]