alikua na mke
kumbe aliolewaga na yule mwarabu duhhh
Okay ni ukweli ila kuna haja ya kujibu kila usemwacho na waja? ni kama anawasimanga waliochepuka na mumewe wakati wa utengano wakati yeye pia alichepuka. kwangu mimi kimya ni jibu kuliko kutoa matamko. wema ana masoo ila huwezi mkuta akijibujibu hovyo kutafuta huruma.
mwarabu yupi heaven
so kwenye msiba nani alikuwa akitambulishwa kama mke wa marehemuu?
Dah alafu bana wasichana wa kikristo ni warahisi sana kuwabadili Dini sijui kwanini? Sjui tamaa? Nimeshangaa kumbe na huyu alishaga badili na Dini kitambo kisa mwarabu!!!
inaweza kuwa ni "in the name of love"
Inamaana mabinti wa kikristo mama wanapenda kule wa kiislam? Nadhani ni imani dhaifu iliopo ndani mwao na tamaa tu!!
mke wa marehem alikua yule Beatrice..mengine nisiendelee
monalisa walikua wanasema mzazi mwenzie marehem sema ile vya umaarufu attention yote ikawa kwa Mona yaan ye ndio akawa kama mjane alioachwa na marehem vya hivyo yaani
aliyefiwa mi naona ni yule aliyekuwa naye hadi mauti yanamfika...ye asubiri mwarabu wake afe akakae eddah kama akifanikiwa kuwepo
Hapo tu what if yule mwarabu akidanja kabla ya Mona hivi mona atajiita tena mke halali ama??
Watu wanamchezea mungu
kumbe uliona ile airtime alopewa hadi mke wa marehemu akafunikika kabisa, alafu leo anajitia umaarafu wa pilau kupikwa manzese harufu kufika hadi ubungomke wa marehem alikua yule Beatrice..mengine nisiendelee
monalisa walikua wanasema mzazi mwenzie marehem sema ile vya umaarufu attention yote ikawa kwa Mona yaan ye ndio akawa kama mjane alioachwa na marehem vya hivyo yaani
kwangu mimi naona anatafuta umaarufu msibani. atulize kipapa hicho. kama waliunganishwa mbona alikitembeza?Haaaaahaaa eti "alichokiunganisha Mungu?" Duh ivi uyu mdada si aliwahi kuolewa tena alisahau kua waliunganishwa?wamuache jamaa apumzike zake kamaliza safari yake wasimfanye kua njia ya kuurudisha umaarufu.
Jamani kasema ukwelii kwan si walifunga ndoa au, na wamezaa nae na alikua akimtunza mtoto
mala ya mwisho george alikuwa na nani? i mean c alikuwa na mke?
Kashare kitanda 2000-2006? Ngoja nipige calculus hapa....6years =365 x6 x2 rounds daily x 4 styles per round...daaaah ni millage za kufa mtu..muacheni apokee mpunga wa pole