Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

Okay ni ukweli ila kuna haja ya kujibu kila usemwacho na waja? ni kama anawasimanga waliochepuka na mumewe wakati wa utengano wakati yeye pia alichepuka. kwangu mimi kimya ni jibu kuliko kutoa matamko. wema ana masoo ila huwezi mkuta akijibujibu hovyo kutafuta huruma.

wabongo wanakera sana bora awajibu na ye ndo mke halali wengine michepuko
 
so kwenye msiba nani alikuwa akitambulishwa kama mke wa marehemuu?

mke wa marehem alikua yule Beatrice..mengine nisiendelee

monalisa walikua wanasema mzazi mwenzie marehem sema ile vya umaarufu attention yote ikawa kwa Mona yaan ye ndio akawa kama mjane alioachwa na marehem vya hivyo yaani
 
Dah alafu bana wasichana wa kikristo ni warahisi sana kuwabadili Dini sijui kwanini? Sjui tamaa? Nimeshangaa kumbe na huyu alishaga badili na Dini kitambo kisa mwarabu!!!
 
mke wa marehem alikua yule Beatrice..mengine nisiendelee

monalisa walikua wanasema mzazi mwenzie marehem sema ile vya umaarufu attention yote ikawa kwa Mona yaan ye ndio akawa kama mjane alioachwa na marehem vya hivyo yaani

Huyo Beatrice ndiye aliyezaa na tyson mtoto wa kiume Edson cjui au aliyezaa naye mtoto wakiume mdogo wake Sonia ni mwanamke mwingine?
 
aliyefiwa mi naona ni yule aliyekuwa naye hadi mauti yanamfika...ye asubiri mwarabu wake afe akakae eddah kama akifanikiwa kuwepo

Hapo tu what if yule mwarabu akidanja kabla ya Mona hivi mona atajiita tena mke halali ama??
 
Hapo tu what if yule mwarabu akidanja kabla ya Mona hivi mona atajiita tena mke halali ama??

haa haa atakuwa mke halali wa wanaume wangapi sasa. hebu amuache mwenzie aomboleze msiba wa mumewe
 
mke wa marehem alikua yule Beatrice..mengine nisiendelee

monalisa walikua wanasema mzazi mwenzie marehem sema ile vya umaarufu attention yote ikawa kwa Mona yaan ye ndio akawa kama mjane alioachwa na marehem vya hivyo yaani
kumbe uliona ile airtime alopewa hadi mke wa marehemu akafunikika kabisa, alafu leo anajitia umaarafu wa pilau kupikwa manzese harufu kufika hadi ubungo
 
Haaaaahaaa eti "alichokiunganisha Mungu?" Duh ivi uyu mdada si aliwahi kuolewa tena alisahau kua waliunganishwa?wamuache jamaa apumzike zake kamaliza safari yake wasimfanye kua njia ya kuurudisha umaarufu.
kwangu mimi naona anatafuta umaarufu msibani. atulize kipapa hicho. kama waliunganishwa mbona alikitembeza?
 
Jamani kasema ukwelii kwan si walifunga ndoa au, na wamezaa nae na alikua akimtunza mtoto

Kashare kitanda 2000-2006? Ngoja nipige calculus hapa....6years =365 x6 x2 rounds daily x 4 styles per round...daaaah ni millage za kufa mtu..muacheni apokee mpunga wa pole
 
Kashare kitanda 2000-2006? Ngoja nipige calculus hapa....6years =365 x6 x2 rounds daily x 4 styles per round...daaaah ni millage za kufa mtu..muacheni apokee mpunga wa pole

Kwa hiyo hata siku za period jamaa alikua anatwanga tu mzigo??

Ukiwa na mkeo huwezi kua unapiga daily,kuna wakati hata week inakata humugusi!!
 
Back
Top Bottom