Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #41
wabongo wanakera sana bora awajibu na ye ndo mke halali wengine michepuko
alikuwa na beatrice na mwingine jina limenitoka (kama lucy vile)
haa haa atakuwa mke halali wa wanaume wangapi sasa. hebu amuache mwenzie aomboleze msiba wa mumewe
haa haa atakuwa mke halali wa wanaume wangapi sasa. hebu amuache mwenzie aomboleze msiba wa mumewe
yeye ndio mpotoshaji. angejiendea kwenye msiba kama mzazi mwenzake na kukaa zake kimya ingetosha. mtu ulishaolewa ukabadili na dini then unasema alokiunganisha Mungu? akasome biblia kwenye injili ya matayo jibu la Yesu kuhusu sababu za kuvunja/kuvunjika ndoa atajua kwamba ile haikuwa ndoa yake tena.Mi naona ni Afadhali ameusema ukweli huu, kuliko angekaa kimya na kuacha upotoshaji uendelee.
Tena imekuwa vizuri zaidi kwa kuwa ametoa maelezo mazuri sana. Wanaomlaumu wana yao.
Ova
Tifua tu mtindo mmoja hata kana kuna tope dadekiiii
mke halali kwa ndoa mbili?? kwa mwarabu aliendaje? kwa taarifa yako kifo na uzinzi unavunja ndoa ya kikkristo na kwa kuolewa na muarabu alizini
Tena sio kuolewa tu na kuzaa kabisa nje ya ndoa.. hiyo ndoa ni batili kabisa
kumgombea marehemu inahuuu tena unatoa na liposti IG ili uonekane umeumia sana au?? sijapenda kusema kweli hasa kwamba alishachepuka mitaani tena kwa ndoa ya dini nyingine
IG watu wamemtolea uvivu basi Leo kutwa ilikuwa ni kujibu na kuelezea how marehemu bado ni mumewe
Hakuna sababu ya kutumia nguvu nyingi kueleza uma kama ilikuwa mke sasa hivi ni mzazi mwezio haina haja ya kuweka mipicha mingi IG. Muhimu mliwaze mwanao
kwa kweli hana busara kabisa...
Hivi na ww unaangalia World Cup? Manake mwenzio pozi limeniisha lote
mkiachana unarudi kwenye dini mmh rejea Wolper
alikuwa na beatrice na mwingine jina limenitoka (kama lucy vile)
Kashare kitanda 2000-2006? Ngoja nipige calculus hapa....6years =365 x6 x2 rounds daily x 4 styles per round...daaaah ni millage za kufa mtu..muacheni apokee mpunga wa pole