Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

haa haa atakuwa mke halali wa wanaume wangapi sasa. hebu amuache mwenzie aomboleze msiba wa mumewe

kumgombea marehemu inahuuu tena unatoa na liposti IG ili uonekane umeumia sana au?? sijapenda kusema kweli hasa kwamba alishachepuka mitaani tena kwa ndoa ya dini nyingine
 
haa haa atakuwa mke halali wa wanaume wangapi sasa. hebu amuache mwenzie aomboleze msiba wa mumewe

Yani kaharibu kuzaa na yule mwarabu bora angebaki na mtoto mmoja Sonia angedai kuwa walikuwa wanapasha kiporo... ila izae na mume mwingine bado ung'ang'anie ujane je na huyo mzazi wapili akitangulia atajiita mjane plus ama?
 
Mi naona ni Afadhali ameusema ukweli huu, kuliko angekaa kimya na kuacha upotoshaji uendelee.
Tena imekuwa vizuri zaidi kwa kuwa ametoa maelezo mazuri sana. Wanaomlaumu wana yao.
Ova
 
Mi naona ni Afadhali ameusema ukweli huu, kuliko angekaa kimya na kuacha upotoshaji uendelee.
Tena imekuwa vizuri zaidi kwa kuwa ametoa maelezo mazuri sana. Wanaomlaumu wana yao.
Ova
yeye ndio mpotoshaji. angejiendea kwenye msiba kama mzazi mwenzake na kukaa zake kimya ingetosha. mtu ulishaolewa ukabadili na dini then unasema alokiunganisha Mungu? akasome biblia kwenye injili ya matayo jibu la Yesu kuhusu sababu za kuvunja/kuvunjika ndoa atajua kwamba ile haikuwa ndoa yake tena.
 
mke halali kwa ndoa mbili?? kwa mwarabu aliendaje? kwa taarifa yako kifo na uzinzi unavunja ndoa ya kikkristo na kwa kuolewa na muarabu alizini

Tena sio kuolewa tu na kuzaa kabisa nje ya ndoa.. hiyo ndoa ni batili kabisa
 
kumgombea marehemu inahuuu tena unatoa na liposti IG ili uonekane umeumia sana au?? sijapenda kusema kweli hasa kwamba alishachepuka mitaani tena kwa ndoa ya dini nyingine

kwa kweli hana busara kabisa...
 
Hakuna sababu ya kutumia nguvu nyingi kueleza uma kama ilikuwa mke sasa hivi ni mzazi mwezio haina haja ya kuweka mipicha mingi IG. Muhimu mliwaze mwanao
 
Hakuna sababu ya kutumia nguvu nyingi kueleza uma kama ilikuwa mke sasa hivi ni mzazi mwezio haina haja ya kuweka mipicha mingi IG. Muhimu mliwaze mwanao

Anavyofanya na kujitahidi watu wamuone Kama mke si hekima. Kweli amfariji mwanae inatosha
 
Wakati yuko hai sijawahi hata kusikia wala kuona post yake yenye hata jina la kumsifia.
 
alikuwa na beatrice na mwingine jina limenitoka (kama lucy vile)

Sasa tunamshambulia nini Monalisa wakati Tyson alioa wawili baada ya Monalisa na vicheche kibao mtaani?? Tuangalie pande zote za shilingi. Sishabikii uzinzi kabisa. Tujifunze kuwa ndoa tunahitaji wote mume na mke tuzilinde. Madhara ya kutengana au kutalikiana ni makubwa kwa wahusika na watoto. Na kama hawakupata kuvunja ndoa kikanisa then kwenda mahakamani kwa talaka basi jua Monalisa na Tyson bado kikanisa ni mke na mume. Ili ndoa yako ivunjike kabisa anzia kanisani wakivunja wanawaandikia muende mahakama ya serikali kupata talaka na madai mengine. So kanisa halitambui talaka ya serikali kama hawakukupa kibali cha kuvunja na ruhusa ya kwenda mahakamani kupata talaka. Pole Mobalisa. Hujafa hujaumbika. Tuimarishe ndoa zetu kwa fundisho la madhara ya ndoa zilizoshindwa.
 
Kashare kitanda 2000-2006? Ngoja nipige calculus hapa....6years =365 x6 x2 rounds daily x 4 styles per round...daaaah ni millage za kufa mtu..muacheni apokee mpunga wa pole

Mkuu umetisha. Nimecheka mpaka basi. Kwamba calculus ya jinsi alivyoshea kitanda na millage zilizofikiwa! Kwani kila siku alikuwa anahusika mkuu? Hakuna cha kuumwa, hakuna kusafiri, hakuna kupumzishana, si angekuwa ame-RIP?
 
Back
Top Bottom