Mkiachana unarudi kanisani. Hiyo inaitwa kurudi kundini. Unapewa neno la toba, baas maisha yanaendelea.
Hakuna sababu ya kutumia nguvu nyingi kueleza uma kama ilikuwa mke sasa hivi ni mzazi mwezio haina haja ya kuweka mipicha mingi IG. Muhimu mliwaze mwanao
Ungetolea mfano mie sio mpaka Wema tu
Moyo ni sirii na ukiwa mchungu lazima useme mi naona haina shida, ingekua tu kazaa nae basi halaf hatunzi mtoto angenyamaza kimyaa
Naomba username ya monalisa ya IG
Naomba username ya monalisa ya IG
Anavyofanya na kujitahidi watu wamuone Kama mke si hekima. Kweli amfariji mwanae inatosha
Huyo Beatrice ndiye aliyezaa na tyson mtoto wa kiume Edson cjui au aliyezaa naye mtoto wakiume mdogo wake Sonia ni mwanamke mwingine?
Basi Tyson inaelekea nae aliishia kutanga tanga...may be they were about kurudiana...chezea first love...
Pana kaukweli hivi maana ukiona account ya GT ya kule IG picha karibia zote ni za Sonia na monalisa tangu afungue account tena ya hivi karibuni kabla ya kifo aliweka wapo na mona na mtoto wao sonia akasema family.
Okay ni ukweli ila kuna haja ya kujibu kila usemwacho na waja? ni kama anawasimanga waliochepuka na mumewe wakati wa utengano wakati yeye pia alichepuka. kwangu mimi kimya ni jibu kuliko kutoa matamko. wema ana masoo ila huwezi mkuta akijibujibu hovyo kutafuta huruma.