Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

Monalisa atoa ya moyoni kifo cha Tyson

:drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama: Queen!
 
Hakuna sababu ya kutumia nguvu nyingi kueleza uma kama ilikuwa mke sasa hivi ni mzazi mwezio haina haja ya kuweka mipicha mingi IG. Muhimu mliwaze mwanao

Naomba username ya monalisa ya IG
 
Anajichoresha tu! Bora angepiga kimya....ana kigundu huyu dada siyo bure..aolewe mara mbili afu ndoa zote mbili zimshinde???
 
Ungetolea mfano mie sio mpaka Wema tu
Moyo ni sirii na ukiwa mchungu lazima useme mi naona haina shida, ingekua tu kazaa nae basi halaf hatunzi mtoto angenyamaza kimyaa

Chezea wema hihiiiii, mi mwenyew apo kanivuruga
 
Te te te labda walisharudiana kimya kimya...wanakwambia wenye mtoto hawaachani; lazima wkumbushie....

Subirini kama hajatupiamo picha zao wakiwa room IG... te te te


Ndio maana nawahurumia sana wanaoolewa na ma divorcee...utata mtupu...kukumbushia ni more likely


Anavyofanya na kujitahidi watu wamuone Kama mke si hekima. Kweli amfariji mwanae inatosha
 
Basi Tyson inaelekea nae aliishia kutanga tanga...may be they were about kurudiana...chezea first love...


Huyo Beatrice ndiye aliyezaa na tyson mtoto wa kiume Edson cjui au aliyezaa naye mtoto wakiume mdogo wake Sonia ni mwanamke mwingine?
 
Basi Tyson inaelekea nae aliishia kutanga tanga...may be they were about kurudiana...chezea first love...

Pana kaukweli hivi maana ukiona account ya GT ya kule IG picha karibia zote ni za Sonia na monalisa tangu afungue account tena ya hivi karibuni kabla ya kifo aliweka wapo na mona na mtoto wao sonia akasema family.
 
Pana kaukweli hivi maana ukiona account ya GT ya kule IG picha karibia zote ni za Sonia na monalisa tangu afungue account tena ya hivi karibuni kabla ya kifo aliweka wapo na mona na mtoto wao sonia akasema family.

Eeeh ina maana walisharudiana
 
Okay ni ukweli ila kuna haja ya kujibu kila usemwacho na waja? ni kama anawasimanga waliochepuka na mumewe wakati wa utengano wakati yeye pia alichepuka. kwangu mimi kimya ni jibu kuliko kutoa matamko. wema ana masoo ila huwezi mkuta akijibujibu hovyo kutafuta huruma.

Ndoa ni mkataba,mume/mke ni rafiki na sio ndugu yako,ndugu ni mtoto /watoto mliowazaa na mwisho ndio maana hata tukiwa hai,mnaachana na kila mtu anachukua 50 zake na wala msijuane na ndio maana kuna usemi wa ''damu nzito kuliko maji'' wathamini ndugu zako na sio mumeo/mkeo ,uhusiano wa ndoa si uhusiano wa damu.
 
For sure mtu akifa ndo watu wanajishebedua; pole yake mhh atakuwa hata baada ya kumuacha alikuwa anamtaman
 
samahani niulize kidogo ivi kuna yeyote anayejua chanzo cha wao kutengana?ebu mwageni ----- wataalam!!
 
Back
Top Bottom