GE2025 Monalisa: Dorothy ni kiongozi mzuri kuliko Mpina

GE2025 Monalisa: Dorothy ni kiongozi mzuri kuliko Mpina

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
 
Naona mnavyotifuana maccm

Huyo monalisa ni mchongo wa ccm mpaka chama chake pia, Mpina hata haeleweki iwapo yupo upande gani
 
Back
Top Bottom