Yaani wanandoa hawa walikuwa wanapendezana sana sijui ni mdudu gani aliingilia ndoa yao?je hakuna la kufanya kuwarudisha?na kwa anayejua ninini chanzo cha kuvunjika?jf ni jeshi kubwa tutapata majibu mazuri.
Jamani haya si madogo nani anayejua jibu tafadhali si umeona siko peke yangu anayetaka kujua.msitukane ili jibu lipatikane nani alihusika na kuvunja ndoa yao.....anayesema huu mi umbeya ahame jukwaa aende la education akasome vitabu unafugua hapa ukitegemea nini?jikaze au hama
Mama yake mona ndo anaolewa ivyo mwezi huu,nasikia katika umri wake hajawai kuolewa zaidi ya kuwa na wajukuu.tumuombee mungu adumu kwenye maisha ya ndoa,mana ndoa ni kuvumiliana!