Monalisa na George Tyson wapo wapi?

Monalisa na George Tyson wapo wapi?

Status
Not open for further replies.

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Yaani wanandoa hawa walikuwa wanapendezana sana sijui ni mdudu gani aliingilia ndoa yao?je hakuna la kufanya kuwarudisha?na kwa anayejua ninini chanzo cha kuvunjika?jf ni jeshi kubwa tutapata majibu mazuri.
 
Kumbe walishaachana?nampenda Monalisa anajiheshimu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ht mie ilinishangaza niliposikia ya kwamba wameachana i real lyk them,nn chanzo?
 
Monalisa alimsaliti taison, akaenda kuzalishwa na mwarabu mmoja maarufu hapa jijini.
 
Ubarinolutu umeuwa kabisa. Lkn mbona mtoto ametoka cheusi
 
Jamani haya si madogo nani anayejua jibu tafadhali si umeona siko peke yangu anayetaka kujua.msitukane ili jibu lipatikane nani alihusika na kuvunja ndoa yao.....anayesema huu mi umbeya ahame jukwaa aende la education akasome vitabu unafugua hapa ukitegemea nini?jikaze au hama
 
kumbe hamna mwenye jibu.kumbe hamjui kupeleleza vya mastaa,tafutenitafuteni basi tujue wataalamu wa issues!
 
Nasikia kumbe hata tyson nae alizaa nje sasa sijui ndo kukomoana,yatupasa kujifunza wenzetu yanapowatokea mambo kama haya na kuwaombea!
 
Mama yake mona ndo anaolewa ivyo mwezi huu,nasikia katika umri wake hajawai kuolewa zaidi ya kuwa na wajukuu.tumuombee mungu adumu kwenye maisha ya ndoa,mana ndoa ni kuvumiliana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom