Monalisa: Natamani kuolewa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ' Monalisa ' hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa .Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa amepata mtu anataka kumuoa na mipango ya ndoa iko tayari.

"Mh! Wewe si wa kwanza kuniambia maneno haya jamani hivi yanatoka wapi ? Mimi sijapata mtu wa kunioa jamani ila nikimpata nitaolewa kwa sababu jua limekuchwa pia ndoa ni jambo la heri ," alisema Monalisa Katikati ya mwaka huu , Monalisa alionyesha matamanio yake ya ndoa ambapo alivaa shera kwenye harusi ya rafiki yake na kuingia na mumewe ikiwa kama maigizo kituko hicho kiliipendezesha shughuli hiyo .
 

Attachments

  • 1416509887540.jpg
    62.5 KB · Views: 2,046
Wewe mona aka cheusi dawa unataka kuolewa mara ngapi? Si uliolewa na marehemu nanii yule director wa kenya nshamsahau, aya tena ukajaga kuolewa na mwarabu looh leo tena unatamani kuolewa na kina mama ubaya wasemeje sasa? Si bora wewe umevaa shera umetoa nuksi, mwenzio mama ubaya anatamani kuvaa ata shera kwenye movie ila bahati hiyo hana, looh kwanza umeshazeeka unataka kuolewa kitu gan utulie ulee watoto hao, au kisa mama ako kaolewa na miaka 60 na wewe unatamani?? Nfyuu tupishe apa, ila tulikumis, eeh zile mali za marehemu tyson mligawanaje? Maana ulivyokuwa na kiherehere nasikia , sijui uliambulia ata bakuli
 
Uolewe mara ya 3? usijali lakini utaolewa tu Life beggins at 40 mbona mamako kaolewa uzeeni(Natasha).
 

Hahahhahaha imebid kwanza nicheke......... Daaaah maneno makali sana haya...kama anapit humu lazma afikirie mara mbili uamuzi wake
 
Utaolewa tu Mona bana lol. Mbona dida anakaribia ndoa ya nne now, akhuuu binamu muache cheusi mwenzangu jamani
 
mona ustake tumwage mtama hapa nakuheshimu unajiheshimu na una watoto ohoooo....!!!!
 
Eti kaolewa Mara ngapi? Sasa anataka Mashaka ya Dunia ya nini? Ajiulize Ana gundu gani waume wangapi?
 
Mashaalah cheusi dawa nampendaje!!
Umri umesogea kidogo lakini bado yuko super!
 
jaman mabarobaro wapo tele kwa wanaotaka kuolewa tatizo izo ndoa zenyewe hamziwezi utamu ukianza nyie ndnadai talaka na ukikata munatamani tena kuweni wavumilivu.
 
Haha bila Wema kutajwa Uzi haunogiiii....haya monalisa we tulia bana na wengine waonje raha ya ndoa. Unazo mbili tayari na zote zilikushinda tuachie na sie tujaribu

Aaaah!!! Huyo bhana, nimemtaja kwa kuwa ni muathirika wa ndoa, maana shoga ako ana nuksi, maana hajawah kuvaa shera ata kwenye movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…