Monalisa: Natamani kuolewa

Monalisa: Natamani kuolewa

Hehehehehe Dina wangeeeeee yule demu wa mwanza ulomuulizia kafia bagamoyo sijui ushapata info? Dina lile jukwaa si la ubuyu shauri yako

Sasa mbona hujaja kutia hata pole kwa wafiwa, tunataka tujue sio kunyamazaa pia taarifa ishasambazwa, ,,,ili maiti ipatikane haraka izikwee,ule sio ubuyu
 
Kukimbia ndoa sio suluhisho,inaonyesha mona ndoa haziwezi maana tyson alimkimbia,akaja mpemba naye akamkimbia bora awe single tu maana ndoa haziwezi.

Kweli kabisa,ndoa zote ni sawa na mtihani mmoja...ukishindwa ya kwanza hutoweza nyingine maana ni yaleyale..
 
Poleni. Chanzo cha kifo ni nini?

Chanzo cha kifo bado hakijajulikana lakini aliitwa sehemu na mdada mmoja hivi ndio alipokwenda yakamkuta hayo picha ya huyo mdada marehemu aliituma kwa mmoja wa rafiki zake kua hata akifa akamatwe huyo dada
 
Duh, nani huyo tena, ilikuwaje
 
Wema bado mbichi sana. Nuksi anayo zari miaka 39 Una watoto 3 still hajawahi kuonja ndoa

Binamu wala usimfananishe zari na wema, wema hampatu yule demu kwa lolote, zari hategemei wanaume kama shoga yako, anajielewa na pia ni kisu, zari ana guu la bia halafu mkalu, mama ubaya mpaka akafanyiwe operation , ngozi imekuwa kama nguruwe
 
Masaro yale hata hayaniumi. Kumbeee eeeh kutaja mtaje nyie tu...nyie mnavyomtaja Wema kila Uzi je kumbe na nyie anawauma ehhh? Nimeamua tu tit for tat. Mpaka mumpumzishe Wema ndio ntaacha manake amekuwa wimbo wa celeb hata kwa uzi usiostahili

Mama ubaya kwa zari ni kama kumfananisha rihhana na adele wema kazeeka ngozi kama rami ina matobo matobo mpaka kaenda china
 
Zari ana miaka 34 yupo vile, mcheki mama ubaya sasa ivi, ana miaka sijui 12 sijui 20 ila kashazeeka akifika umri wa zari si atakuwa na ngozi kama mamba na uso kama stafeli, zari ni kisu

Ni zaidi ya 34 Kama yuko saw a why haachi editing ya picha zake?? Uzee umemtembelea ndo maana picha zake full editing. Hata Wema nae akifanya editing mbona anakuwa sawa tu. Kama gundu la ndoa analo zari pamoja na kuzalishwa mitoto 3 bado shela hakulivaa gundu gunduje sasa
 
Ila bora mwenzie ana watoto, wema ata wa dawa hana, anaishia kufuga mbwa, yan ndoa hana,mtoto hana duh hataree
 
Wale hawakuwa wa kwake na ndio maana anaitamani ndoa:confused2:

Kuna wimbo mmoja wa dini wanaimbaga ivi " huyo ni chaguo lako, hata kama ni kiwete au kiziwa, ata kama msukuma mkokoteni, ulimpenda mwenyewe na kukubali kuolewa nae" yani unanifuraishaga sana , sasa kama sio chaguo lake kwa nn aliolewa nao na kuzaa watoto kama sio umalaya? Wanaume wawil?
 
Back
Top Bottom