Monalisa: Natamani kuolewa

Monalisa: Natamani kuolewa

Hayo ni mapito tu. Pengine kuna alilojifunza tokana na aliyoyafanya/kuyapitia.

Alafu mi mbona huwa sisikii skendo zake?

Nani ana mda nae? Hana bwana wa maana kama kina CK, hana maisha mazuri inshort maisha yake ya kawaida sana na hana jipya yule kashafulia, japokuwa ni muigizaji first class bongo movie mwenye kiwango cha kimataifa, mona kwenye sanaa ni kifo yule hakunaga kama yu
 
Kwani we umeongea na wanamme wote wakasema hawana muda nae?
 
Wewe mona aka cheusi dawa unataka kuolewa mara ngapi? Si uliolewa na marehemu nanii yule director wa kenya nshamsahau, aya tena ukajaga kuolewa na mwarabu looh leo tena unatamani kuolewa na kina mama ubaya wasemeje sasa? Si bora wewe umevaa shera umetoa nuksi, mwenzio mama ubaya anatamani kuvaa ata shera kwenye movie ila bahati hiyo hana, looh kwanza umeshazeeka unataka kuolewa kitu gan utulie ulee watoto hao, au kisa mama ako kaolewa na miaka 60 na wewe unatamani?? Nfyuu tupishe apa, ila tulikumis, eeh zile mali za marehemu tyson mligawanaje? Maana ulivyokuwa na kiherehere nasikia , sijui uliambulia ata bakuli

Aya ni mambo ya kina martin na wenzao wakina remtullar
 
Kwani kutamani kuolewa no kosa!? Au ndo kabakia muoaji mmoja tu duniani kaba akiolewa ndo hakuna engine kuolewa tens!? Hata kama alishaolewa mara laki muacheni, ni yeye, ni maisha yake... 😱😱
 
Kuna wimbo mmoja wa dini wanaimbaga ivi " huyo ni chaguo lako, hata kama ni kiwete au kiziwa, ata kama msukuma mkokoteni, ulimpenda mwenyewe na kukubali kuolewa nae" yani unanifuraishaga sana , sasa kama sio chaguo lake kwa nn aliolewa nao na kuzaa watoto kama sio umalaya? Wanaume wawil?

Sawa warumi ila kunam engi ya kuangalia hapa

Na kama alikuwa wa kwake kwanini waliachana na utakuta jamaa sasa ana mke labda na watotona mke mwingine
 
Wewe mona aka cheusi dawa unataka kuolewa mara ngapi? Si uliolewa na marehemu nanii yule director wa kenya nshamsahau, aya tena ukajaga kuolewa na mwarabu looh leo tena unatamani kuolewa na kina mama ubaya wasemeje sasa? Si bora wewe umevaa shera umetoa nuksi, mwenzio mama ubaya anatamani kuvaa ata shera kwenye movie ila bahati hiyo hana, looh kwanza umeshazeeka unataka kuolewa kitu gan utulie ulee watoto hao, au kisa mama ako kaolewa na miaka 60 na wewe unatamani?? Nfyuu tupishe apa, ila tulikumis, eeh zile mali za marehemu tyson mligawanaje? Maana ulivyokuwa na kiherehere nasikia , sijui uliambulia ata bakuli

Samahani nauliza tu nifahamu "wewe ni 'he' au 'she ?
 
Kibongo bongo kwa umri wako ili uolewe lazima uwe na moja ya hivi;
1. Pesa za kumlea "mumeo";
2. Wezere la kuvunja chagga;
3. Rangi ya kuvutia.
Sasa nikiangalia sijui unaangukia wapi hapo
 
Tatizo ana sura ya baba ake[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama unachuki juu yake huwezi kumfikia Weka picha yako tulinganishe dada hachuji, ana mwili mzuri hadi raha.
IMG_20190103_103023.jpg
IMG_20190103_103504.jpg
Tuambie wewe utapokuwa na mtoto wa umri huu sura yako itakuwa na shepu gani au kama Wema Sepetu.
 
Unajua hata gari ya kununua Third hand huwa ina matatizo lukuki. Kila mtu katia miaka yake humo tu. Odo imetembea sana
 
Back
Top Bottom