Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nyakati wapi, shoga ako cheusi dawa umalaya unamsumbua
Hayo ni mapito tu. Pengine kuna alilojifunza tokana na aliyoyafanya/kuyapitia.
Alafu mi mbona huwa sisikii skendo zake?
nani aoe mtu kaachika mara 2?mxxx atupishe hapa..akaolewe na le mutuz
Nani ana mda nae? Hana bwana wa maana kama kina CK, hana maisha mazuri inshort maisha yake ya kawaida sana na hana jipya yule kashafulia, japokuwa ni muigizaji first class bongo movie mwenye kiwango cha kimataifa, mona kwenye sanaa ni kifo yule hakunaga kama yu
Wewe mona aka cheusi dawa unataka kuolewa mara ngapi? Si uliolewa na marehemu nanii yule director wa kenya nshamsahau, aya tena ukajaga kuolewa na mwarabu looh leo tena unatamani kuolewa na kina mama ubaya wasemeje sasa? Si bora wewe umevaa shera umetoa nuksi, mwenzio mama ubaya anatamani kuvaa ata shera kwenye movie ila bahati hiyo hana, looh kwanza umeshazeeka unataka kuolewa kitu gan utulie ulee watoto hao, au kisa mama ako kaolewa na miaka 60 na wewe unatamani?? Nfyuu tupishe apa, ila tulikumis, eeh zile mali za marehemu tyson mligawanaje? Maana ulivyokuwa na kiherehere nasikia , sijui uliambulia ata bakuli
Aya ni mambo ya kina martin na wenzao wakina remtullar
Kuna wimbo mmoja wa dini wanaimbaga ivi " huyo ni chaguo lako, hata kama ni kiwete au kiziwa, ata kama msukuma mkokoteni, ulimpenda mwenyewe na kukubali kuolewa nae" yani unanifuraishaga sana , sasa kama sio chaguo lake kwa nn aliolewa nao na kuzaa watoto kama sio umalaya? Wanaume wawil?
nani aoe mtu kaachika mara 2?mxxx atupishe hapa..akaolewe na le mutuz
huyo huyo silent killer
Wewe mona aka cheusi dawa unataka kuolewa mara ngapi? Si uliolewa na marehemu nanii yule director wa kenya nshamsahau, aya tena ukajaga kuolewa na mwarabu looh leo tena unatamani kuolewa na kina mama ubaya wasemeje sasa? Si bora wewe umevaa shera umetoa nuksi, mwenzio mama ubaya anatamani kuvaa ata shera kwenye movie ila bahati hiyo hana, looh kwanza umeshazeeka unataka kuolewa kitu gan utulie ulee watoto hao, au kisa mama ako kaolewa na miaka 60 na wewe unatamani?? Nfyuu tupishe apa, ila tulikumis, eeh zile mali za marehemu tyson mligawanaje? Maana ulivyokuwa na kiherehere nasikia , sijui uliambulia ata bakuli
Baba yake unamjua?
Hata kama unachuki juu yake huwezi kumfikia Weka picha yako tulinganishe dada hachuji, ana mwili mzuri hadi raha.
Pengine alikimbia mikuyenge man, huwezi jua alikutana na matango ya size ganiKukimbia ndoa sio suluhisho,inaonyesha mona ndoa haziwezi maana tyson alimkimbia,akaja mpemba naye akamkimbia bora awe single tu maana ndoa haziwezi.
Hahaha kama kakimbia mkuyati basi ataendelea kuachika. Ukiolewa sharti ulale uchiKweli kabisa,ndoa zote ni sawa na mtihani mmoja...ukishindwa ya kwanza hutoweza nyingine maana ni yaleyale..