tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe mwanachama wa ACT WAZALENDO kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya Tarehe ya mwisho wa wagombea wa Chama.
"Awe ni mtu anayejitegemea kutokana na chanzo halali cha kipato kutokana na shughuli halali. Awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT WAZALENDO na aonyeshe utayari wa kusimamia na kuiishi.
Soma pia: Mpina awekewa pingamizi na mwanachama mwenza kugombea urais kupitia ACT WAZALENDO
"Aidha tunatambua na kuzingatia Demokrasia bila utaratibu na kanuni hugeuka kuwa vurugu. Kanuni zinamtoa nje ndugu Luhaga Mpina kugombea Urais, ACT WAZALENDO na kwamba hastahil"- Monalisa Joseph Ndala - Katibu Muenezi ACT- WAZALENDO mkoa wa Dar - es Salaam