tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Haiwezekani... Maana ili wafoji inabidi awe hajashiriki kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM.Naona dada amekomalia Hilo suala. Ila watafoji tarehe ya kujiunga uanachama kwa kubackdate kadi ya uanachama.
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe mwanachama wa ACT WAZALENDO kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya Tarehe ya mwisho wa wagombea wa Chama.
"Awe ni mtu anayejitegemea kutokana na chanzo halali cha kipato kutokana na shughuli halali. Awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT WAZALENDO na aonyeshe utayari wa kusimamia na kuiishi.
Soma pia: Mpina awekewa pingamizi na mwanachama mwenza kugombea urais kupitia ACT WAZALENDO
"Aidha tunatambua na kuzingatia Demokrasia bila utaratibu na kanuni hugeuka kuwa vurugu. Kanuni zinamtoa nje ndugu Luhaga Mpina kugombea Urais, ACT WAZALENDO na kwamba hastahil"- Monalisa Joseph Ndala - Katibu Muenezi ACT- WAZALENDO mkoa wa Dar - es Salaam
Very possible mkuuπ€£,Huyu mama na wenzake ni CCM, kazi yao ni kuonyesha kwamba TZ kuna upinzani kumbe ni wa CCM.
Atafukuzwa maana Mpina ni project ya CCMNaona dada amekomalia Hilo suala. Ila watafoji tarehe ya kujiunga uanachama kwa kubackdate kadi ya uanachama.
Alishakula advance kitambo snZitto yeye anasemaje
Hapo maelekezo ni ya CCM, huyo mama atafukuzwaHaiwezekani... Maana ili wafoji inabidi awe hajashiriki kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM.
Kikao cha CCM kuteua wagombea ubunge kilifanyika tarehe 28/07/2025, kwa ivo haiwezekani hiyo tarehe awe alikuwa CCM na wakati huo huo ACT Wazalendo.
Ili mwezi utimie tangu atemwe CCM ni mpaka ifike tarehe 28/08/2025. Jee hiyo tarehe imefika?
tapeli la kisiasa lileAlishakula advance kitambo sn
Labda iwe hivyo... Naye ni kwa nini asipeleke kesi mahakamani?Hapo maelekezo ni ya CCM, huyo mama atafukuzwa
Hana tofauti na majangili ya CHAUMAtapeli la kisiasa lile
Haitapokelewa, kwani kuna mahakama? bora apeleke kwa wazee wa kimilaLabda iwe hivyo... Naye ni kwa nini asipeleke kesi mahakamani?
Sema Zitto naye huwa haaminiki, unaweza kuwa ni mpango wao ACT - Wazalendo ikose mgombea Urais kupunguza mbinyo kwa CCM ili wao "wapewe" viti kadhaa vya ubunge.Haitapokelewa, kwani kuna mahakama? bora apeleke kwa wazee wa kimila
Zitto anafanya maigizo tupuSema Zitto naye huwa haaminiki, unaweza kuwa ni mpango wao ACT - Wazalendo ikose mgombea Urais kupunguza mbinyo kwa CCM ili wao "wapewe" viti kadhaa vya ubunge.
ACT ina uzanzibari Fulani hiviπ
Mara paap Mpina katolewa... Anabakia Salum Mwalimu πππZitto anafanya maigizo tupu
Na ndiyo lengo kuuMara paap Mpina katolewa... Anabakia Salum Mwalimu πππ
Upi huo..?Upuuzi mtupu