DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kada wa ACT-Wazalendo Monalisa Ndala amemwahidi mtangazaji Charles William kiasi chochote cha fedha atakachotaka iwapo Luhaga Mpina hatarejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2026.
Ahadi hiyo imetolewa na Monalisa Ndala, Kada wa ACT Wazalendo ambaye anapinga uamuzi wa chama hicho kumteua Mpina kuwa mgombea wake wa Urais.
Je mpina atafanya kama alivyofanya Benard Membe au Edward Lowasa?