GE2025 Monalisa: Tulifanya makosa 2020 kwa Membe, Mpina asiporudi CCM nitakupa kiasi chochote cha fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa ACT-Wazalendo Monalisa Ndala amemwahidi mtangazaji Charles William kiasi chochote cha fedha atakachotaka iwapo Luhaga Mpina hatarejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2026.

Ahadi hiyo imetolewa na Monalisa Ndala, Kada wa ACT Wazalendo ambaye anapinga uamuzi wa chama hicho kumteua Mpina kuwa mgombea wake wa Urais.

Je mpina atafanya kama alivyofanya Benard Membe au Edward Lowasa?

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…