iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana kwamba hatua ya Mond kuondoka madale ni baaada ya mama mzazi huyo kukutaa uhusiano wa Mond na Hamisa,kwani kwa sasa wamerudiana.Mama Mond anaamini mwanae kwa sasa amepigwa misumali kwani tangu atoke white house madale anaishi nyumbani kwa kina mobeto na amekuwa mnywaji kupindukia.
Nitarudi tena.
Nitarudi tena.