Tetesi: Mond atimka Madale,chanzo Hamisa

Tetesi: Mond atimka Madale,chanzo Hamisa

kwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!
Safi kwani magezeti si yanatoka hapo swax town au wew uko boda kabisa ziwa tanganyika uko!

Nkasi pako fresh sana napaelewa.
 
Achana na mambo ya kufuatilia mambo ya wengine huo ni umbea pambana na hali yako
 
Mapenzi yanaweza jenga au Kubomoaa... Na yakibomoa yanabomoaa kwelii hayaachi hata jiwe moja likisimama juu ya jiwe linginee..!!
 
Hata wakati anafanya collabo na P Square walimshangaa sana kwani walimuandalia na cavosier, Jack Daniel, Henessy jamaa aliwaambia juice na maji vinatosha
Sky Eclat labda kwa sasa anapiga kinywaji.

Lakini kwenye hiyo interview akiwa Kenya aliapa kabisa hajawahi kunywa kilevi wala kutumia midaharati.
 
Back
Top Bottom