snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
HUJANIELEWA!Kwa hiyo ww unaweza amin habari kisa source yake ni ANONYMOUS ID ? habari ambayo haina specific source.Mfano humu jamii forum ID zetu wote ni fake lkn mtu akileta habari,hataka asipoweka evidence lkn hata mtiririko wake na vyanzo vake ni TANGIBLE,sasa wewe habari zote za kimbeya vyanzo vyake havipo specific,utasikia CHANZO CHA MTU ALIYE KARIBU au CHANZO CHA UHAKIKA.Ujue sometimes unaweza ukakuta unaleta mfarakano au hata kuua mtu kisa habari yako ni chanzo cha karibu,chanzo cha uhakika au from ANONYMOUS ID.Habari from ANONYMOUS ID huwaga naiona ya ukweli endapo utanipa TANGIBLE EVIDENCE vinginevyo ni uzushi.
wat if mimi ninayeandika hapa nikawa ni CHANZO CHA UHAKIKA niliyena ANONYMOUS ID!
ndo ilikuwa maana yangu!