iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
kwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana kwamba hatua ya Mond kuondoka madale ni baaada ya mama mzazi huyo kukutaa uhusiano wa Mond na Hamisa,kwani kwa sasa wamerudiana.Mama Mond anaamini mwanae kwa sasa amepigwa misumali kwani tangu atoke white house madale anaishi nyumbani kwa kina mobeto na amekuwa mnywaji kupindukia.
Nitarudi tena.
Wewe mbona umefuatilia?Usifatilie yasiyokuhusu umeshakunywa Chai na una uhakika wa Mchana?
Wewe au umekuwa msemaji wa wabongo wote?Haya ndio tunayoweza Wabongo
Mi sijafatilia ila nimesoma habari wewe umefatilia kwenye nyumba za watu ndio maana umeleta habari.Wewe mbona umefuatilia?
Kwani maana ya jukwaa hili ni nn Mr Kilaza?Mi sijafatilia ila nimesoma habari wewe umefatilia kwenye nyumba za watu ndio maana umeleta habari.
Asubuhi sana hii ata Mod bado hawajafanya Usafi kwenye majukaa yao .Kwani maana ya jukwaa hili ni nn Mr Kilaza?
Binafsi naona nitabobea sana kwenye habari hizi kwa muda mrefu........nitafuatilia sana......mmmh bora tuhamie kwenye udaku tu hakuna namna!
Diamond anakunywa pombe?
Yani kwako saa hizi ni asubuhi sana eeeh.Asubuhi sana hii ata Mod bado hawajafanya Usafi kwenye majukaa yao .
SanaDiamond anakunywa pombe?
Msaidieni boss wenuUnaambiwa ukitaka kujua stori za tajiri au aliyefanikiwa, mpaka chupi unayovaa, chakula anachokula basi utaipata kwa maskini au jobless...
Ukitakajua boksa anayovaa Bakhersa basi nenda pande za Tandale huko, Temeke..utazipata