Monday Morning Special!!

Pole ex babe....nani tena amekukorofisha!!
Msamehe tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mi sipo busy na siwezi nunua ugomvi hata wa nani. Shoga angu Phenomenal woman anakasirikaga akianza kugombana na mtu halafu mi namtetea huyo mtu maana naona kabisa yeye ndo mkorofi sasa namteteaje
sasa wewe huoni una akili mingi sana? ambao hawako busy na hawana akili ya kujiongeza ndo wako hivyo
ila umetoa somo zuri my dear

Bravoooooo
 
Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!

Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu
Mi ninae babu yangu humu jamani. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…