Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!

Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu
Hivi kuna mtu kawalazimisha kuyaleta jukwaan?

Simple logic, mmegombana mkashindwa kuombana misamaha live, whassup, pm mkayaleta public, sisi tufanyeje sakayo?
 
Na mwisho wa siku lazima yabume tu.
Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kweli la block
 
kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.

Hope you are doing well. Nimekumis mnooo
Mbona mi sipo busy na siwezi nunua ugomvi hata wa nani. Shoga angu Phenomenal woman anakasirikaga akianza kugombana na mtu halafu mi namtetea huyo mtu maana naona kabisa yeye ndo mkorofi sasa namteteaje
 
Back
Top Bottom