Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitampa jibu moja tu atajuta kunijua.[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitampa jibu moja tu atajuta kunijua.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzigua come this way mama
Hiyo ni kama sheria my dear!! Anapokuambia yangu jua anawaambia wengine yako.Kweli kabisa. Unafiki humu ndio nyumbani kwake.Tuache unafiki. Na tujue mtu anapomfata mwingine kumwambia mambo yangu ujue hata yake yanazungumzwa sana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunamalizanaga wenyewe huko tunanuniana tukija jf tunacheka kama kawaida hakuna anayejuaHahaha
Na wewe unajuaga kupambana na Sakayo acha kabisaaa!! Ila hatuwezi kumuingiza mtu kabisaaa
Kabisa sasa wajinga wanafurahia hawajui hicho ni kinyume chake.Hiyo ni kama sheria my dear!! Anapokuambia yangu jua anawaambia wengine yako.
Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!Yaani yaani. Nikajisemea moyoni trust no biihh. Utakuta hata alieitoa ni mwanaume. Wanaume wa humu nao hawakaniwi ujue.
Mara ya ngapi tenaaa jamani!!Onyesha mfano wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Huyo nae kawa kama kaa siku hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waweke nzuri ili iweje sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina chochote kaka angu zaidi ya kupata mabaraka kutoka kwa Mungu uzidi kubarikiwa sana niko natengeneza mazingira yangu vizuri ya tigo pesaUna nn lakin?
Wajinga tu hao dawa kuwapuuza. Maisha ni zaidi ya kujipa stress. Furaha ni kila kitu.Ndo ivo mwayaa. Utashangaa unaambiwa fulani na fulani wana mambo mabaya huyu. Kumbe hayo mambo wamekutungia wao wenyewe na wakaamua kuyasambaza .
thanks mkuuPleasure is all mine mkuu
Kumbe uko umefanana na baba akoYaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!
Hii ndo aibu jamani. I have a friend hata kama hujui ugomvi anaweza akakwambia fulani akikuuliza hiki sema ndio. Sasa kumbe ile ndio yako ndo inachochea ugomvi. Toka nimejua nilimwambiaga sitaki uniambie chochote na wagomvi wako. Malizaneni wenyewe.Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!
Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Unatokea Mars [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!
Ha ha ha ha ha Mtekaji anatembea na wallet na atm card zote so pata pichaSina chochote kaka angu zaidi ya kupata mabaraka kutoka kwa Mungu uzidi kubarikiwa sana niko natengeneza mazingira yangu vizuri ya tigo pesa