Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Yaani yaani. Nikajisemea moyoni trust no biihh. Utakuta hata alieitoa ni mwanaume. Wanaume wa humu nao hawakaniwi ujue.
Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Hii ndo aibu jamani. I have a friend hata kama hujui ugomvi anaweza akakwambia fulani akikuuliza hiki sema ndio. Sasa kumbe ile ndio yako ndo inachochea ugomvi. Toka nimejua nilimwambiaga sitaki uniambie chochote na wagomvi wako. Malizaneni wenyewe.
 
Back
Top Bottom