Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mbichwa unapasuka hapa mchumba.
Hehehe sasa huyo mtu kiherehere gani kilimtuma akaenda kupost huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bwanaMnanicheka eeh [emoji57][emoji57]
UmesomekaNilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
eeeh bwana jana nilikua namalizia weekend,Mumu alikushika janaaa ..kuna uzi wa yuko wap Nyan ngabu ulikua ni fireeee
Uliungwa kwa magroup?? [emoji23]Sijaona swali embu uliza tena [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niacheni na huyo mwenzio mfyuuu
Hahaaaaa nitakutumia Bundle [emoji23][emoji23]Nikijibu bundle itaisha ndo shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF kweli kuna mambo, wapo waliogombana tena? kazi ipoAhahaa ameenda wapi?
Kitu kimoja watu wajue.ugomvi wa nifah na ngabu Mimi siujui.nifah was my friend kama nilivosema mwanzoni kila mwanamke wa jf nilimchukulia kama shosti wangu.nilikuwa namuheshimu sana
Busara nyingi sana zimetukika kuandika huu uzi, huyu mzigua sijui kala nini tu jamaniSawa mama huu uzi ni mzuri sana hongera
Anajitumiaga mapicha tu mengi anaokota huko kwenye groupHehehe sasa huyo mtu kiherehere gani kilimtuma akaenda kupost huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliungwa kwa magroup?? [emoji23]
Nikijibu bundle itaisha ndo shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa nitakutumia Bundle [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mpe pole ShooAnajitumiaga mapicha tu mengi anaokota huko kwenye group
Naona unacomment kwa vinaKumbe ndio zao [emoji23][emoji23][emoji23] wajinga waliopitiliza hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm bada ya kuniambia aliungwa kwa group nilicheka sana na pole sijampa magroup ya nn ya jf[emoji23][emoji23][emoji23] mpe pole Shoo
Halafu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unacomment kwa vina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo akaanza kuji introduce kama anaomba kazi bank [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm bada ya kuniambia aliungwa kwa group nilicheka sana na pole sijampa magroup ya nn ya jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndiwoooo kama ulikuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo akaanza kuji introduce kama anaomba kazi bank [emoji23]