Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niacheni na huyo mwenzio mfyuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niacheni na huyo mwenzio mfyuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tumshkuru sana mbebez wangu bila yeye mpaka leo ungekuwepo huko kwenye group na picha zingekuwa zinazidi kupostiwa nakujua ww
 
Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
haswaaa, hata mimi kuna siku niliona kuna utofauti wa hayo ulosema. Unaweza mwangalia mtu na kuanza kushangaa mwenyewe kama wanazo humo kichwani.

Ila vzr umetuletea somo hapa tutaendelea kujifunza zaidi
 
Ujumbe mzuri Mzigua wenye kukusikia wamekusikia, watu wanajisahau hawajui kuna maisha nje ya JF na huu ni mtandao tu.
 
Jamani
Nimefurahi saaana kuwa nanyi hapa, ngoja nijenge Taifa sasa!!

Tupendane tuu maana hakuna namna ingine kabisaaa!! Penda nyie wote!!

Mbebez wangu kipenzi tuondoke sasa!!
We kajenge mie ntakuja kupaka rangi. Wacha niendelee kusogoa hapa siku iishe
 
Back
Top Bottom