Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Labda iwe kuanzia saa 12 unielewe nikikwambia napigiwa simu kila mdaUsiku nimechoka kuwa popo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda iwe kuanzia saa 12 unielewe nikikwambia napigiwa simu kila mdaUsiku nimechoka kuwa popo
hahahaHahaha
Hutaki au kuna mtu kakutumia ya Google
Mbebez wako yuko hapaJamani
Nimefurahi saaana kuwa nanyi hapa, ngoja nijenge Taifa sasa!!
Tupendane tuu maana hakuna namna ingine kabisaaa!! Penda nyie wote!!
Mbebez wangu kipenzi tuondoke sasa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona hunipi hizo habari mm najua kuhusu picha tuMie nlijutaaaaaaa. Siku moja tu sijui mbili nimekaa
Mnajadili nini huko? Kuna jukwaa la mapenzi?Mie nlijutaaaaaaa. Siku moja tu sijui mbili nimekaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niacheni na huyo mwenzio mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha
yaan hili libaridi likiisha utaniona full mzima mzimaHahaha
Linda ndoa dadakee...
Mitaa ile nimo sema umepotea sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tumshkuru sana mbebez wangu bila yeye mpaka leo ungekuwepo huko kwenye group na picha zingekuwa zinazidi kupostiwa nakujua ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niacheni na huyo mwenzio mfyuuu
haswaaa, hata mimi kuna siku niliona kuna utofauti wa hayo ulosema. Unaweza mwangalia mtu na kuanza kushangaa mwenyewe kama wanazo humo kichwani.Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu wana mapicha yao ya kusingizia watu huyu ndio sakayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa huwezi aminiWeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kajenge mie ntakuja kupaka rangi. Wacha niendelee kusogoa hapa siku iisheJamani
Nimefurahi saaana kuwa nanyi hapa, ngoja nijenge Taifa sasa!!
Tupendane tuu maana hakuna namna ingine kabisaaa!! Penda nyie wote!!
Mbebez wangu kipenzi tuondoke sasa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha kwa young
Hivyo vipicha unavyomtumiaga wahtasspp kuna siku atakulipua navyo.
Yangu macho tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kajenge mie ntakuja kupaka rangi. Wacha niendelee kusogoa hapa siku iishe