[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Teacher naona umevurugwaOle wakoooo!!!nakurogaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ni ufwala
hahaa "" aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin
hahaa..hiyo foward ever " backward never "" umenikumbusha mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Demiss kama CCM wii. Forward ever backward never.
Huyo mtu kama ni mwanaume ana hasira na wewe labda ulimkataa au ulimiacha. Kama ni mwanamke anakuonea wivu
Mamaaeeee "" wewe kweli komando kipensi....shivo master "" shikamoooonilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
Acha basiiiii"" hahaaaUko nyuma kweli. Nini vikundi kuna mpaka whatsapp group nasikia za kusakama members humu.
Ajabu sana kwakweli ""Hivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.
Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.
Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
hahaaa wakunyumba acha visa""Akiona avatar yako anaugua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ujue bado kwetu umeme hamna toka jana nimekuja kucharge simu huku
Mbwai mbwai. Ukiitaji mchumba nichekiMamaaeeee "" wewe kweli komando kipensi....shivo master "" shikamoooo
[emoji8][emoji8]nichumu halafu uniambie kuna nini my one and only.Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
kwenye ubora wako ""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee huu uzi bado upo naona kila mmoja ni Innocent, kila mmoja anasemwa aiseee na mikwara kibao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Kazi kwelikweliKuna beef la ngabu na nifah sasa Mimi nikaonekana nina urafiki na ngabu ikawa shida bna.kumbe picha ya nifah ililetwa humu Mimi maskini hata sikuona pia nisingependa au kushabikia hilo jambo.Ila nikafanywa adui wa wasiojulikana bila sababu.
Usimuamini mtu yoyote duniani .watu ni wabinafsi sana.Kazi kwelikweli
Unagombana na kila mmoja humu, tatizo nini?Usimuamini mtu yoyote duniani .watu ni wabinafsi sana.
Sijagombana na mtu Mkuu.nani umeona nimegombana nae?Unagombana na kila mmoja humu, tatizo nini?
Kwani umeelewaje Mkuu?Sasa mbona everyone is playing innocent? Yani katika hizi conversations sikuona hata mmoja aliyekiri kuwa victim...
Wanasema age hii ya 15-45yrs kila mtu anajiona yupo sahihi kwa kila kitu. Wachache wapo tayari kusikiliza na kujifunza, tujaribu kusikiliza zaidi, hakika tutajifunza mengi.
Haya hapa ni maelezo yako >>>>Kuna beef la ngabu na nifah sasa Mimi nikaonekana nina urafiki na ngabu ikawa shida bna.kumbe picha ya nifah ililetwa humu Mimi maskini hata sikuona pia nisingependa au kushabikia hilo jambo.Ila nikafanywa adui wa wasiojulikana bila sababu.Sijagombana na mtu Mkuu.nani umeona nimegombana nae?