Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Demiss kama CCM wii. Forward ever backward never.
Huyo mtu kama ni mwanaume ana hasira na wewe labda ulimkataa au ulimiacha. Kama ni mwanamke anakuonea wivu
hahaa..hiyo foward ever " backward never "" umenikumbusha mbali sana
 
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
Mamaaeeee "" wewe kweli komando kipensi....shivo master "" shikamoooo
 
Hivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.

Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.

Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
Ajabu sana kwakweli ""
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
[emoji8][emoji8]nichumu halafu uniambie kuna nini my one and only.
 
Hee huu uzi bado upo naona kila mmoja ni Innocent, kila mmoja anasemwa aiseee na mikwara kibao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mbona everyone is playing innocent? Yani katika hizi conversations sikuona hata mmoja aliyekiri kuwa victim...

Wanasema age hii ya 15-45yrs kila mtu anajiona yupo sahihi kwa kila kitu. Wachache wapo tayari kusikiliza na kujifunza, tujaribu kusikiliza zaidi, hakika tutajifunza mengi.
 
Kuna beef la ngabu na nifah sasa Mimi nikaonekana nina urafiki na ngabu ikawa shida bna.kumbe picha ya nifah ililetwa humu Mimi maskini hata sikuona pia nisingependa au kushabikia hilo jambo.Ila nikafanywa adui wa wasiojulikana bila sababu.
Kazi kwelikweli
 
Sasa mbona everyone is playing innocent? Yani katika hizi conversations sikuona hata mmoja aliyekiri kuwa victim...

Wanasema age hii ya 15-45yrs kila mtu anajiona yupo sahihi kwa kila kitu. Wachache wapo tayari kusikiliza na kujifunza, tujaribu kusikiliza zaidi, hakika tutajifunza mengi.
Kwani umeelewaje Mkuu?
 
Sijagombana na mtu Mkuu.nani umeona nimegombana nae?
Haya hapa ni maelezo yako >>>>Kuna beef la ngabu na nifah sasa Mimi nikaonekana nina urafiki na ngabu ikawa shida bna.kumbe picha ya nifah ililetwa humu Mimi maskini hata sikuona pia nisingependa au kushabikia hilo jambo.Ila nikafanywa adui wa wasiojulikana bila sababu.
 
Back
Top Bottom