Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo akaanza kuji introduce kama anaomba kazi bank [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.

Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.

Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.

Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.

Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.

Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.

Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.

Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.

Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.

hahhah yani kiukweli nilikuaga nakutafutiaga visa tu kwenye lile ID langu la zamani lakini ulikua hujai kwenye 18 kabisaaa Mwanamke unabusara sana wewe, Nimeamua nikupende tu..Thumbs Up
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umenichekesha ujue. Kwahiyo mkuu ulikua unanichokoza tu ili nikujibu uniseme zaidi eeh?
 
JF kweli kuna mambo, wapo waliogombana tena? kazi ipo
Kuna beef la ngabu na nifah sasa Mimi nikaonekana nina urafiki na ngabu ikawa shida bna.kumbe picha ya nifah ililetwa humu Mimi maskini hata sikuona pia nisingependa au kushabikia hilo jambo.Ila nikafanywa adui wa wasiojulikana bila sababu.
 
Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.

Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.

Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.

Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.

Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.

Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.

Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.

Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.

Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.

You said it all [emoji1476][emoji1476]mydear
 
Back
Top Bottom