Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Eti .so what?Ili kuja kutangaza JF?
What the heck!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti .so what?Ili kuja kutangaza JF?
What the heck!
Ole wakoooo!!!nakurogaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naitwa flani nafanya kazi sehemu flani naishi dar mahali flani unasindikiza na mpicha wako
Hilo la wadada ndo umbea umbea huko halafu nyie nyie baadae mnarudisha maneno kwa wahusika.Kuna siku mtu alinijia PM akaniambia kuna group limeanzishwa whatsapp linaitwa JF Dadaz [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikamwambia sina whatsapp . Period
Itakuwa JDBusara nyingi sana zimetukika kuandika huu uzi, huyu mzigua sijui kala nini tu jamani
Hilo la wadada ndo umbea umbea huko halafu nyie nyie baadae mnarudisha maneno kwa wahusika.
Sitakagi hizo group naogopa kusutwaHilo la wadada ndo umbea umbea huko halafu nyie nyie baadae mnarudisha maneno kwa wahusika.
Kuna siku mtu alinijia PM akaniambia kuna group limeanzishwa whatsapp linaitwa JF Dadaz [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikamwambia sina whatsapp . Period
Mbona unacheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha si wanadai na mwanaume hahahaha lazima mwanaume ashushe madini mazito[emoji23] [emoji23]Busara nyingi sana zimetukika kuandika huu uzi, huyu mzigua sijui kala nini tu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwana mengine namsingizia ujue halafu acha kunichokoza
Shoo ulienda kuomba kazi Bank au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapohapo ungewaambia sitaki group lenu [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo sheria sasa za group [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili swali zuri sana [emoji23][emoji23]Hivi ulijitambulisha kwa jina la mzigua au la kwenye cheti cha kuzaliwa
Bora [emoji23]La kwenye vyeti wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ni ufwala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naitwa flani nafanya kazi sehemu flani naishi dar mahali flani unasindikiza na mpicha wako
Na ndio dawa yao. Wanawake wanahangaika sana.Kuna siku mtu alinijia PM akaniambia kuna group limeanzishwa whatsapp linaitwa JF Dadaz [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikamwambia sina whatsapp . Period
Ata mimi naona mzee [emoji23]Hahaha si wanadai na mwanaume hahahaha lazima mwanaume ashushe madini mazito[emoji23] [emoji23]
kwenye ubora wako ""Wengi wasiojielewa ni wadada bifu nyingi ni kugombania wanaume tena anonymous utadhan mitaan wameisha.