Side Makini Entertainer
Member
- Jan 19, 2020
- 42
- 80
Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki.
Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip đź¤
Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita trend haswa ila sio kwa sababu ni kali bali kwa sababu brand ya Mondi kwa sasa ni kubwa!
Rates naipa 5.5/10, Nategemea maajabu zaidi kwenye kideo kama kawaida, Sema kitu kimoja ninachopenda kwa Mondi ana identity yake ambayo always hajawahi pinda.
Ndio maana ni rahisi mno msanii mwingine akitaka kupita kama yeye unamgundua tu huyu anapita njia za Mondi huyu!
La mwisho, Sema hata kama tunataka Intaneshino' sio kwa aina hii ya ngoma, Na kama ndio Grammy tunazitaka nafikiri tutaendelea kuzihesabia nchi nyingine!