Mondi kuvunja rekodi nyingine: Anakuwa Bongo Fleva wa kwanza kwenda tour Europe akiwa na bendi + wanenguaji

Mondi kuvunja rekodi nyingine: Anakuwa Bongo Fleva wa kwanza kwenda tour Europe akiwa na bendi + wanenguaji

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
1,070
Reaction score
1,439
Mondi ametangaza anakwenda tour Europe akiambatana na bendi na dancers. Live band!

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa BONGO FLEVA kufanya hivi katika historia na nchi inayonyemelewa na mabeberu kina Pompeo!

Hii ni kwa Europe. Mondi alishapiga live band Nairobi.

Hongera Chibu.
 
Mambo ya maendeleo mabeberu hawataki unajuaa!!!! Watamnyima viza!! Shauri yako!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kipya. Kipindi kile si alikua anazunguka na akina iyobo kwani sio dancers wale

Domo live band haiwezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kipya. Kipindi kile si alikua anazunguka na akina iyobo kwani sio dancers wale

Domo live band haiwezi

Sasa kasema anaenda na bendi....akidanganya itakula kwake....
 
Mambo yanayofanyika ni ya kihistoria kwenye bongo fleva...

Ila kama kawaida yetu...akitumia DJ/ playback utaskia oooh sio live show ile, mbona hamna bendi...sasa anaenda na bendi tunanuna!!°
 
Back
Top Bottom