Sana tuMondi ametangaza anakwenda tour Europe akiambatana na bendi na dancers. Live band!
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa BONGO FLEVA kufanya hivi katika historia na nchi inayonyemelewa na mabeberu kina Pompeo!
Hii ni kwa Europe. Mondi alishapiga live band Nairobi.
Hongera Chibu.
Tumekusikia zabibu kiba.Hakuna Jipya atawatelekeza ameshazoea Ma CD huyo Uwezo wa kuimba na Live Band hana..
Mond anaenda kupiga kukata mauno na Band kwenye Birthday za watoto wa wakulu uko Ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi ametangaza anakwenda tour Europe akiambatana na bendi na dancers. Live band!
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa BONGO FLEVA kufanya hivi katika historia na nchi inayonyemelewa na mabeberu kina Pompeo!
Hii ni kwa Europe. Mondi alishapiga live band Nairobi.
Hongera Chibu.
Tumekusikia zabibu kiba.
Wanawashwa washwa, Hawawezi kuwasilisha mada pasipo Kumtaja Kiba naona Wameambukizwa na Mjomba ao Mond na yeye hawezi kuongea au kufanya Jambo la ushawishi bila Kumtaja Ali kiba.Huwa najiuliza hivi alikiba ndo mume wenu maana hamuishi kumtaja taja
Tusubiri mkuuHakuna Jipya atawatelekeza ameshazoea Ma CD huyo Uwezo wa kuimba na Live Band hana..
Mond anaenda kupiga kukata mauno na Band kwenye Birthday za watoto wa wakulu uko Ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapa ukimtaja mondi tu lazima ataingizwa kiba na harmonize!!!Wanawashwa washwa, Hawawezi kuwasilisha mada pasipo Kumtaja Kiba naona Wameambukizwa na Mjomba ao Mond na yeye hawezi kuongea au kufanya Jambo la ushawishi bila Kumtaja Ali kiba.
Sent using Jamii Forums mobile app