Mondi kuvunja rekodi nyingine: Anakuwa Bongo Fleva wa kwanza kwenda tour Europe akiwa na bendi + wanenguaji

Mondi ametangaza anakwenda tour Europe akiambatana na bendi na dancers. Live band!

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa BONGO FLEVA kufanya hivi katika historia na nchi inayonyemelewa na mabeberu kina Pompeo!

Hii ni kwa Europe. Mondi alishapiga live band Nairobi.

Hongera Chibu.
Sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
!
!
akipiga live band nakunya boga
 
Wanawashwa washwa, Hawawezi kuwasilisha mada pasipo Kumtaja Kiba naona Wameambukizwa na Mjomba ao Mond na yeye hawezi kuongea au kufanya Jambo la ushawishi bila Kumtaja Ali kiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapa ukimtaja mondi tu lazima ataingizwa kiba na harmonize!!!
 
Back
Top Bottom