Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.

Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.
 
Huwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza

Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???

Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P

Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song
 
huyo Mondi wako hadi hivi sasa ana recognition gani za kimataifa ktk masuala ya music hadi umlinganishe na the wacko jacko?
Je ameonekana mara ngapi ktk The World Music Awards, Guinness Book of World Records, na Grammy Awards?
 
C&P

How many awards did Michael Jackson receive?

Jackson's other achievements include 39 Guinness World Records—including one for "Most Successful Entertainer of All Time"—13Grammy Awards as well as the Grammy Legend Award and Grammy Lifetime Achievement Award, 26 American Music Awards, 16 World Music Awards and the estimated sale of up 1 billion units worldwide.
 
Sure akiweza wapita wakina wizkid hapo

Sawa
 
Cake na Boflo ile mikate ya kizanzibar ni vitu viwili tofauti.
 

Kakojoe ulale....#%$&$(××)
 
Haters watabisha....!!!!
 
Hivi mara ya mwisho Tz kushuhudia msanii akibeba mituzo mikubwa mikubwa ni mwaka gani? Labda tuanzie hapo
 
Ulivyosema Michael Jackson kakimbilia video niione lakini nilichokikuta ndugu yangu kwanza acha dharau, pili angalau ungesema alikuwa anawachezeaha kama lucky dube ningekuelewa!!! Mwisho acha kumfananisha huyo diamondi wako na Michael Jackson..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…