Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Amfikie kwanza koffi olomide kabla ya kumfanyia operation ya uso pua na mdomo na kumbadilisha rangi na kumuita Michael Jackson.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
foleni????acha hizo mkuuJamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.
Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.
😂 😂 😂 😂 😂ameshapita kona baa
we jamaa hukuelewa thread, "anaelekea kuwa",, na sio eti ndo keshakuaHuwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza
Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???
Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P
Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song

Kitambo hujatuletea story zako za Hollywood kulikoni mzee baba???Hahahaa mzee michael jackson ni level nyingine kabisa! Hao kina p didy, chris brown wanakesha wakiomba wawe kama michael ila ni ndoto! Michael yule ndo Lucifer kama ulikuwa hujui.
Hapo ni sawa. Hivi jamaa alieleta huu uzi. Sijui ameshapita kona baa au majani yanamsumbua.
Hahahaa mzee michael jackson ni level nyingine kabisa! Hao kina p didy, chris brown wanakesha wakiomba wawe kama michael ila ni ndoto! Michael yule ndo Lucifer kama ulikuwa hujui.
Haters watabisha....!!!!
Kabisaumetoroka Mirembe wewe
Hakuna wa kuelekea kuwa Michael Jackson mkuu ..huko Hollywood kwenyewe kina jay-z mpaka sasa hawajaweza kufikia level ambayo amewahi kuufikia MJ. ..MJ yule ni music allian kakawe jamaa hukuelewa thread, "anaelekea kuwa",, na sio eti ndo keshakua
Ndoto ya asubuhi hii!! Yale makelele ya midundo ya studio anayoyafanya Diamond unayalinganisha na sauti ya Michael Jackson yenye purity 100%?
Purity ya sauti ya MJ ni kama ala za muziki wa mbinguni! You can even feel it deep down in your soul!
Hayo makelele ya Diamond ya "tetema" ni ukichaa mtupu! He is doing business not music!
HahahaWe uko mbege au chimpumu
Kwa iyo vibanda vyote vya kuhamisha nyimbo bongo vikipiga track ya mond basi keshamfikia wako jako wa dunia nzima
Kwani Michael Jackson ni Nani au alikuwa nani???. Si alikuwa binadamu wa Kawaida tu!!.
Wabongo tuna ushabiki wa kiboya sana aisee!!
Unaona kabisa kwamba huyu ni mjusi Ila unang'ang'ana kuwa ni Godzilla
Nilibahatika kumuona karibu kama hatua tano alivyokuja Bongo 90"s..ukimtazama jamaa alikuwa anatisha (sio ubaya)bali jamaa alikuwa na power fulani watu wanazimia..alafu ananukia kama jiniHahaha yule jamaa alikuwa ndiye rafiki wa shetani aise. .maana sio kwa kuwa na influence kiasi kile. .dah Kuna clip moja niliona akiwa ame visit Mexico Aise. ..Yule jamaa alikuwa ni shetani. ..Acha tu